Manhaj Media Production ni media ya Kiislamu iliyoanzishwa mwaka 2020 ikiwa na lengo la kusambaza elimu sahihi ya Dini ya Uislamu kupitia njia mbalimbali za kisasa za mawasiliano. Kupitia chaneli yake ya Manhaj Online TV, Media hii inajihusisha na kurekodi, kurusha na kusambaza darsa, mihadhara, khutba pamoja na maudhui mengine ya kielimu kupitia njia za Kidigitali. Manhaj Media, tunalenga kuwafikishia Waislamu elimu yenye manufaa inayotokana na Qur’an Tukufu na Sunnah sahihi kwa uelewa wa Salafus-Swaalih (wema waliotangulia), kwa kutumia majukwaa ya mtandao na teknolojia ya kisasa. Tunamuomba Allah aikubali kazi hii na aijaalie iwe sababu ya kuenea kwa elimu na kheri katika jamii.
Gusa jina la Sheikh unayemtaka, kisha ingia moja kwa moja kusikiliza darsa na mafunzo yake yaliyojaa elimu yenye manufaa, ufafanuzi wa kina na mwongozo sahihi wa dini.
Assalaamu alaykum mwalim mimi ni suufiyya lakn darsa la mashd hidaya from keko wallahi nalifuatilia sana na nastafidi sana wakati nalisikiliza
khamisiiddi
YouTube
Nakupenda mwalim wangu kwaajili ya allah Mimi ni suufiyya wa kutupwa mno lakin nakuafuatilia tangia darsa namba moja
khamisiiddi
YouTube
ALLAH AWALIPE KHERY, TUNAOMBA NAMBA YAKUCHANGIA CHANNEL HII IZIDI KUSONGA MBELE
swahilitherapytv
YouTube
Manhaj Media Pro – All Rights Reserved © 2026