CHANGIA – MANHAJ MEDIA PRODUCTION

Kwanini uchangie?

Uendeshaji wa kazi hii ya Dawah unahitaji juhudi na msaada kutoka kwa Allah, wadau na watu wa kheri. Tunawakaribisha Waislamu wote kushiriki katika kuendeleza kazi hii kwa kutoa mchango wao kwa ajili ya kusaidia gharama za uendeshaji wa media, uzalishaji wa maudhui, uchapishaji wa vitabu na kuendeleza miradi yetu yote ya media kwa ujumla.

Unaweza kuchangia kupitia njia zifuatazo:

 

  • M-Pesa Lipa Namba: 50211673
  • Mixx by Yas: +255 711 894 995

Jina: Manhaj Media Production

Changia leo kwa ajili ya Akhera bora na jamii yenye uelewa zaidi.

Title
.