Dola ya Saudi Arabia

:‏قال شيخ مشايخنا العلامة حمّاد الأنصاري Amesema Sheikh wa masheikh zetu Hammaad Al-Answaariy – Allaah amrehemu: إن الدولة السعودية لها الحظ الأوفر في هذا الزمان بنشر العلم” “Hakika Dola ya Saudia ina hadhi kubwa katika zama hizi kwasababu ya kueneza elimu, “.وعليكم بالدعاء لها بالنصر على جميع الأعداء Ni juu yenu kuiombea dua ya Nusra […]

Read more

Hapana! Hili halifai

:قال العلاّمة الشيخ صالح الفوزان – حفظه الله ورعاه Amesema Al-‘Allamah Sheikh Swaaleh Al-Fawzaan – Allaah amuhifadhi: ” نحن نرى الأخطاء ونسكت، ونترك الناس يهيمون…؟ لا ، هذا ما يجوز أبداً “Sisi tuone makosa kisha tunyamaze! Na tuache watu wanatangatanga huku na kule! Hapana hili halifai abadan. “.يجب أن نبيّن الحق من الباطل، رضي من […]

Read more

Sababu za Kutoka kwenye Itikadi Sahihi

قال الشيخ العلامة صالح الفوزان – حفظه الله تعالى Amesema Sheikh mwanachuoni Swaaleh Al-Fawzaan – Allaah amuhifadhi: والانحراف عن العقيدة الصحيحة له أسباب تَجِبُ معرفتها، من أهمها “Kupotoka kutoka kwenye itikadi sahihi kuna sababu ni wajibu kuzitambua, muhimu katika hizo: ١ – الجهلُ بالعقيدة الصحيحة 1 – Ujinga kutokuijua itikadi sahihi. ٢ – التّعصُّبُ لما […]

Read more

Hii ndio Salama yako

سلامتك في التمسك بمنهج سلف الصالح SALAMA YAKO EWE MUISILAMU IPO KATIKA KUFUATA NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA: قال الشيخ صالح الفوزان حفظه الله: ( إذا أردت النجاة وأردت السعادة وأردت السلامة من الضلال فعليك بمنهج السلف) شرح الدرة المضية في عقد أهل الفرقة المرضية، ( ص: ٢٧٨ ) Amesema Sheikh Swaaleh Al-Fawzaan – Allaah amuhifadhi: […]

Read more

Ikhwaan-ul-Muslimun

قال ‏الشيخ ربيع بن هادي – حفظه الله « فالإخوان المسلمون أخطر الفِرق على الإسلام منذ قامت دعوة الإخوان المسلمين، وهم من أكذب الفرق بعد الروافض »   Amesema Sheikh Rabii bin Haadiy ( Allâh amuhifadhi ): “Ikhwaan-ul-Muslimun ni kundi hatari zaidi kwa Uislamu tangia ulipoanza ulinganizi wao, nao ndio kundi ambalo ni waongo zaidi […]

Read more
Title
.