:‏قال شيخ مشايخنا العلامة حمّاد الأنصاري

Amesema Sheikh wa masheikh zetu Hammaad Al-Answaariy – Allaah amrehemu:

إن الدولة السعودية لها الحظ الأوفر في هذا الزمان بنشر العلم”

“Hakika Dola ya Saudia ina hadhi kubwa katika zama hizi kwasababu ya kueneza elimu,

“.وعليكم بالدعاء لها بالنصر على جميع الأعداء

Ni juu yenu kuiombea dua ya Nusra dhidi ya Maadui wote.”

المجموع (٥٨٢/٢) 📚

 

_________________

Mfasiri: Sheikh Abuu Muhammad Jaa’far Swaaleh Al-Humeidy
Imechapishwa na: https://www.manhajmedia.com
Marejeo: |[ المجموع (٥٨٢/٢) ]|

Tarehe: 25-Shawwal-1441H = 16-June-2020M

⛔️ Usibadili chochote, sambaza kama ulivyoipokea.