Sale!

Hukumu za Funga (Swawm)

Original price was: TZs 2,000.Current price is: TZs 1,000.

Category:

Kitabu hiki cha “Mukhtaswar Fiy Ahkaam Asw-Swiyaam” ambacho kimetolewa katika kitabu cha “ad-Durusul Fiq-hiyyah” cha mwanachuoni mkubwa, Sheikh Muhammad bin Swaleh al-‘Uthaymeen (Rahimahullah). Tumelenga kuyakusanya masuala muhimu ya Funga katika muhtasari mfupi, ulio rahisi kueleweka, ili kuwanufaisha Waislamu kwa ujumla, hususan wazungumzaji wa lugha ya Kiswahili. Kitabu hiki kimefasiriwa kwa lugha ya Kiswahili na Sheikh Abuu Mujtaba Ahmad Mwinyiwiwa (Hafidhahullah), kwa lengo la kuufikisha ujumbe wa kielimu kwa urahisi zaidi kwa jamii ya Waswahili, na kusaidia kuongeza ufahamu sahihi wa hukumu za Funga kwa mujibu wa Qur’ani na Sunnah, kwa ufahamu wa Wema waliotangulia.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Hukumu za Funga (Swawm)”

Your email address will not be published. Required fields are marked *