الإسـراف فـي الأكـل والـشـراب فـي رمـضـان

⚠️ ISRAAF KATIKA KULA NA KUNYWA KATIKA MWEZI WA RAMADHANI.

Sheikh / Al-‘Allaamah Swaaleh Al-Fawzaan – Allah amuhifadhi

❪❓❫ السُّـــ↶ــؤَالُ

بـعـض الـنـاس يـسرفـون فـي الأكـل والأطـعمـة والأشـربـة فـنجـد يـعنـي الـموائـد مـملـؤة بـأصنـاف الـطعـام ؟

Swali:

Baadhi ya watu wanafanya Israaf katika kula na kunywa, utakuta meza zimejaa aina mbalimbali za vyakula

❪✅❫ الجَــ↶ـــوَابُ

 هـذا خـلاف الـسنـة شـهـر رمـضـان لـيـس شـهـر للأطـعمـة والأشـربـة والتـخمـة 》

Jawabu:

Hii ni kinyume na sunnah, mwezi wa Ramadhani si mwezi wa kula na kunywa na kuvimbiwa,

بـل هـو شـهـر الـصيـام يـأخـذ من الأطـعمـة عـنـد الإفـطـار مـا يـحتـاج إلـيـهِ

Bali ni mwezi wa kufunga, chakula huliwa wakati wa kufuturu kile kinachohitajika,

أمـا تـنويـع الأطـعمـة وتـنويـع الإفـطـار ، وكـأن شـهـر رمـضـان صـار شـهـر لـلأكـل والشـرب مـا هـو بشـهـر للـصيـام

Ima aina tofauti za vyakula na futari kama vile mwezi wa Ramadhani ni mwezi wa kula na kunywa,

يـخفـف الأطـعمـة ولا سـيمـا وأنـهُ سـيقـوم مـن الـليـل ويـحتـاج إلـى تـخفيـف الـطعـام والـشـراب

Apunguze (mtu) chakula hasa yeye atasimama usiku (kuswali) anatakiwa apunguze chakula na vinywaji,

《 لأنـهُ وإذا مـلأ بـطنـهُ بـالطعـام والشـراب كـسـل عـن الـصـلاة والـعبـادة

Kwasababu akijaza tumbo lake kwa chakula na vinywaji atakuwa mvivu wa swala na ibada.

_________________

Mfasiri: Sheikh Abuu Maahir Amani Khamisi Kitenga
Imechapishwa na: https://www.manhajmedia.com
Marejeo: |[ http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15610 ]|

⛔️ Usibadili chochote, sambaza kama ulivyoipokea.