Sheikh Ilyasaa Juma Ludoma (Abuu Abdil-Wahhab) حفظه الله

Sheikh Ilyasaa Juma Ludoma (Abuu Abdil-Wahhab) حفظه الله

Sheikh Ilyasaa Juma Ludoma حفظه الله ni katika Masheikh wanaojulikana nchini Tanzania kwa kulingania Dawah Salafiyyah, akisisitiza kufuata Qur-aan na Sunnah kwa ufahamu wa Salafus-Swaalih.

Ni Sheikh wa Masjid Hidaya – Keko, Dar es Salaam, ambapo hufundisha na kuendesha darsa, khutbah na mihadhara mbalimbali ya kielimu.

Amejikita katika kufundisha elimu za Dini na kutoa mawaidha, akiwahimiza Waislamu kurejea katika uelewa sahihi wa Dini na kujiepusha na bid’ah na upotofu.

Title
.